Yoshua 13:24 - Swahili Revised Union Version24 Musa akawapa kabila la Gadi, hao wana wa Gadi, kwa kadiri ya jamaa zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Sehemu ya nchi ambayo Mose aliwapa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Sehemu ya nchi ambayo Mose aliwapa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Sehemu ya nchi ambayo Mose aliwapa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Haya ndio maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa kabila la Gadi, kufuatana na koo zao: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Haya ndiyo maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa kabila la Gadi, ukoo kwa ukoo: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Musa akawapa kabila la Gadi, hao wana wa Gadi, kwa kadiri ya jamaa zao. Tazama sura |