Yoshua 13:22 - Swahili Revised Union Version22 Balaamu naye, huyo mwana wa Beori, huyo mchawi, wana wa Israeli walimwua kwa upanga kati ya hao wengine waliowaua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Balaamu, mtabiri, mwana wa Beori ambaye Waisraeli walimuua alikuwa mmoja wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Balaamu, mtabiri, mwana wa Beori ambaye Waisraeli walimuua alikuwa mmoja wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Balaamu, mtabiri, mwana wa Beori ambaye Waisraeli walimuua alikuwa mmoja wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Pamoja na wale waliouawa katika vita, Waisraeli walikuwa wamemuua kwa upanga Balaamu mwana wa Beori aliyekuwa mwaguzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Pamoja na wale waliouawa katika vita, Waisraeli walikuwa wamemuua kwa upanga Balaamu mwana wa Beori aliyekuwa mchawi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Balaamu naye, huyo mwana wa Beori, huyo mchawi, wana wa Israeli walimwua kwa upanga kati ya hao wengine waliowaua. Tazama sura |