Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 13:20 - Swahili Revised Union Version

20 na Beth-peori, na nchi za materemko ya Pisga, na Beth-yeshimothi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Beth-peori, miteremko ya mlima Pisga, Beth-yeshimothi

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Beth-peori, miteremko ya mlima Pisga, Beth-yeshimothi

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Beth-peori, miteremko ya mlima Pisga, Beth-yeshimothi

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Beth-Peori, miteremko ya Pisga na Beth-Yeshimothi:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Beth-Peori, materemko ya Pisga na Beth-Yeshimothi:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

20 na Beth-peori, na nchi za materemko ya Pisga, na Beth-yeshimothi;

Tazama sura Nakili




Yoshua 13:20
8 Marejeleo ya Msalaba  

basi, tazama, nitawafunulia wana wa mashariki ubavu wa Moabu toka miji yake, toka miji yake iliyo mipakani mwake, utukufu wa nchi hiyo, Beth-yeshimothi, na Baal-meoni, na Kiriathaimu,


Ikawa Israeli kujiungamanisha na Baal-peori; hasira za BWANA zikawaka juu ya Israeli.


Wakapiga kambi karibu na Yordani, tangu Beth-yeshimothi hata kufikia Abel-shitimu katika nchi tambarare za Moabu.


na nchi ya Araba nayo, na mto wa Yordani, na mpaka wake, tokea Kinerethi mpaka bahari ya hiyo Araba, nayo ni Bahari ya Chumvi, chini ya materemko ya Pisga, upande wa mashariki.


ng'ambo ya Yordani, katika bonde lililoelekea Beth-peori, katika nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni ndiye aliyepigwa na Musa na wana wa Israeli, walipotoka Misri;


na nchi ya Araba mpaka bahari ya Kinerethi, kuelekea mashariki, tena mpaka bahari ya Araba, mpaka Bahari ya Chumvi, kwendea mashariki, njia ya kwendea Beth-yeshimothi; tena upande wa kusini, chini ya materemko ya Pisga;


na Kiriathaimu, na Sibma, na Sereth-shahari katika kilima cha hilo bonde;


na miji yote ya nchi tambarare, na ufalme wote wa Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akitawala katika Heshboni, aliyepigwa na Musa pamoja na hao wakubwa wa Midiani, nao ni Evi, na Rekemu, na Suri, na Huri, na Reba, hao watawala wa Sihoni, waliokuwa katika nchi hiyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo