Yoshua 13:10 - Swahili Revised Union Version10 na miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala katika Heshboni, hata mpaka wa wana wa Amoni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 pamoja na miji ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala huko Heshboni hadi mpakani mwa Waamoni, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 pamoja na miji ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala huko Heshboni hadi mpakani mwa Waamoni, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 pamoja na miji ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala huko Heshboni hadi mpakani mwa Waamoni, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 nayo miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala Heshboni, hadi mpakani mwa Waamoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 nayo miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala Heshboni, hadi mpakani mwa Waamoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 na miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala katika Heshboni, hata mpaka wa wana wa Amoni; Tazama sura |