Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 12:9 - Swahili Revised Union Version

9 mfalme wa Yeriko, mmoja; mfalme wa Ai, ulio karibu na Betheli, mmoja;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: Mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: Mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 mfalme wa Yeriko; mfalme wa Ai (karibu na Betheli);

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 mfalme wa Yeriko, mmoja; mfalme wa Ai, ulio karibu na Betheli, mmoja;

Tazama sura Nakili




Yoshua 12:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha BWANA akamwambia Yoshua, Usiogope, wala usifadhaike; wachukue wanajeshi wako wote waende pamoja nawe, nanyi inukeni, mwende Ai, angalia, mimi nimemtia mkononi mwako huyo mfalme wa Ai, na watu wake, na mji wake, na nchi yake;


Hakusalia mtu yeyote ndani ya Ai, au katika Betheli, asiyetoka nje kuwafuatia Israeli; wakauacha mji wazi na kuwafuatia Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo