Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 11:7 - Swahili Revised Union Version

7 Basi Yoshua akaenda, na watu wote wa vita pamoja naye, ili kupigana nao hapo penye maji ya Meromu ghafla; wakawashambulia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Basi, ghafla kwenye chemchemi ya Meromu Yoshua pamoja na jeshi lake lote akawatokea na kuwashambulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Basi, ghafla kwenye chemchemi ya Meromu Yoshua pamoja na jeshi lake lote akawatokea na kuwashambulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Basi, ghafla kwenye chemchemi ya Meromu Yoshua pamoja na jeshi lake lote akawatokea na kuwashambulia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Hivyo Yoshua na jeshi lake lote wakaja dhidi yao ghafula kwenye Maji ya Meromu na kuwashambulia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Hivyo Yoshua pamoja na jeshi lake lote wakaja dhidi yao ghafula kwenye Maji ya Meromu kuwashambulia,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Basi Yoshua akaenda, na watu wote wa vita pamoja naye, ili kupigana nao hapo penye maji ya Meromu ghafla; wakawashambulia.

Tazama sura Nakili

Yoshua 11:7
4 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Yoshua akawatokea ghafla; kwani alikwea kutoka Gilgali kwenda usiku kucha.

BWANA akamwambia Yoshua, Wewe usiogope kwa ajili ya hao; kwani kesho wakati kama huu nitawatoa wakiwa wameuawa wote mbele ya Israeli; utawakata farasi wao, na magari yao utayateketeza kwa moto.

BWANA akawatia mkononi mwa Israeli, nao wakawapiga, na kuwafukuza mpaka kufikia Sidoni ulio mkuu, tena hadi kufika Misrefoth-maimu, tena hata kufikia bonde la Mispa upande wa mashariki; wakawaua wote, wasibakize hata mtu mmoja

Tufuate:

Matangazo

Matangazo