Yoshua 10:22 - Swahili Revised Union Version22 Kisha Yoshua akasema, Haya, funua mdomo wa pango, mniletee hao wafalme watano hapa nje ya pango. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Kisha Yoshua akasema, “Fungueni mlango wa pango mniletee kutoka humo wale wafalme watano.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Kisha Yoshua akasema, “Fungueni mlango wa pango mniletee kutoka humo wale wafalme watano.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Kisha Yoshua akasema, “Fungueni mlango wa pango mniletee kutoka humo wale wafalme watano.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Ndipo Yoshua akasema, “Haya fungueni mdomo wa pango, mniletee hao wafalme watano.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Ndipo Yoshua akasema, “Haya fungueni mdomo wa pango, mniletee hao wafalme watano.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Kisha Yoshua akasema, Haya, funua mdomo wa pango, mniletee hao wafalme watano hapa nje ya pango. Tazama sura |