Yoshua 1:3 - Swahili Revised Union Version3 Kila mahali zitakapopakanyaga nyayo za miguu yenu, nimewapa ninyi, kama nilivyomwapia Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kila mahali mtakapokanyaga nimewapeni kama nilivyomwahidi Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kila mahali mtakapokanyaga nimewapeni kama nilivyomwahidi Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kila mahali mtakapokanyaga nimewapeni kama nilivyomwahidi Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kila mahali nyayo za miguu yenu zitakapokanyaga nimewapa, kama vile nilivyomwahidi Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kila mahali nyayo za miguu yenu zitakapokanyaga nimewapa, kama vile nilivyomwahidi Musa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Kila mahali zitakapopakanyaga nyayo za miguu yenu, nimewapa ninyi, kama nilivyomwapia Musa. Tazama sura |