Yohana 9:26 - Swahili Revised Union Version26 Basi wakamwambia, Alikutendea nini? Alikufumbua macho jinsi gani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Basi wakamwambia, Alikutendea nini? Alikufumbua macho jinsi gani? Tazama sura |