Yohana 9:23 - Swahili Revised Union Version23 Ndiyo sababu wale wazazi wake walisema, Ni mtu mzima, mwulizeni yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Ndiyo sababu wale wazazi wake walisema, Ni mtu mzima, mwulizeni yeye. Tazama sura |