Yohana 8:57 - Swahili Revised Union Version57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Abrahamu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Basi, Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza miaka hamsini bado, nawe umemwona Abrahamu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Basi, Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza miaka hamsini bado, nawe umemwona Abrahamu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Basi, Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza miaka hamsini bado, nawe umemwona Abrahamu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, nawe wasema umemwona Ibrahimu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, wewe wasema umemwona Ibrahimu?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Abrahamu? Tazama sura |