Yohana 8:43 - Swahili Revised Union Version43 Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamuwezi kulisikia neno langu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Kwa nini hamuelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamwezi kuusikiliza ujumbe wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Kwa nini hamuelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamwezi kuusikiliza ujumbe wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Kwa nini hamuelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamuezi kuusikiliza ujumbe wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Kwa nini hamwelewi ninayowaambia? Ni kwa sababu hamwezi kusikia nisemacho. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Kwa nini hamwelewi ninayowaambia? Ni kwa sababu hamwezi kusikia nisemacho. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI43 Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamuwezi kulisikia neno langu. Tazama sura |