Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yohana 8:1 - Swahili Revised Union Version

1 Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka katika mlima wa Mizeituni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Lakini Yesu akaenda kwenye mlima wa Mizeituni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Lakini Yesu akaenda kwenye mlima wa Mizeituni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 lakini Yesu akaenda kwenye mlima wa Mizeituni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Lakini Isa akaenda katika Mlima wa Mizeituni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Lakini Isa akaenda katika Mlima wa Mizeituni.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka katika mlima wa Mizeituni.

Tazama sura Nakili




Yohana 8:1
5 Marejeleo ya Msalaba  

Walipokaribia Yerusalemu, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia,


Walipokaribia Yerusalemu karibu na Bethfage na Bethania, kukabili mlima wa Mizeituni, aliwatuma wawili katika wanafunzi wake,


Na alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, kuelekea hekalu Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea walimwuliza kwa faragha,


Na alipokuwa amekaribia mteremko wa mlima wa Mizeituni, kundi zima la wanafunzi wake walianza kufurahi na kumsifu Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya matendo yote ya uwezo waliyoyaona,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo