Yohana 7:15 - Swahili Revised Union Version15 Wayahudi wakastaajabu wakisema, Amepataje huyu kujua elimu, ambaye hakusoma? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Basi, Wayahudi wakashangaa na kusema, “Mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Basi, Wayahudi wakashangaa na kusema, “Mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Basi, Wayahudi wakashangaa na kusema, “Mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wayahudi wakastaajabia mafundisho yake wakasema, “Mtu huyu amepataje kujua mambo haya bila kufundishwa?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wayahudi wakastaajabia mafundisho yake wakasema, “Mtu huyu amepataje kujua mambo haya bila kufundishwa?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Wayahudi wakastaajabu wakisema, Amepataje huyu kujua elimu, ambaye hakusoma? Tazama sura |