Yohana 6:6 - Swahili Revised Union Version6 Na hilo alilinena ili kumjaribu; kwa maana alijua mwenyewe atakalotenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 (Alisema hivyo kwa kumjaribu Filipo, kwani alijua mwenyewe atakalofanya.) Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 (Alisema hivyo kwa kumjaribu Filipo, kwani alijua mwenyewe atakalofanya.) Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 (Alisema hivyo kwa kumjaribu Filipo, kwani alijua mwenyewe atakalofanya.) Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Aliuliza swali hili kumpima, kwa maana alishajua la kufanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Aliuliza swali hili kumpima, kwa maana alishajua la kufanya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Na hilo alilinena ili kumjaribu; kwa maana alijua mwenyewe atakalotenda. Tazama sura |