Yohana 5:42 - Swahili Revised Union Version42 Lakini nimewajua ninyi ya kuwa hamna upendo wa Mungu ndani yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Lakini nawajua nyinyi, najua kwamba upendo kwa Mungu haumo mioyoni mwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Lakini nawajua nyinyi, najua kwamba upendo kwa Mungu haumo mioyoni mwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Lakini nawajua nyinyi, najua kwamba upendo kwa Mungu haumo mioyoni mwenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 lakini mimi ninawafahamu. Ninajua kwamba hamna upendo wa Mungu mioyoni mwenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Lakini ninajua kwamba hamna upendo wa Mungu mioyoni mwenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Lakini nimewajua ninyi ya kuwa hamna upendo wa Mungu ndani yenu. Tazama sura |