Yohana 5:33 - Swahili Revised Union Version33 Ninyi mlituma watu kwa Yohana, naye akaishuhudia kweli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 “Mlituma wajumbe kwa Yahya, naye akaishuhudia kweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 “Mlituma wajumbe kwa Yahya, naye akashuhudia juu ya kweli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Ninyi mlituma watu kwa Yohana, naye akaishuhudia kweli. Tazama sura |