Yohana 4:44 - Swahili Revised Union Version44 Kwa maana Yesu mwenyewe alishuhudia ya kwamba nabii hapati heshima katika nchi yake mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Maana Yesu mwenyewe alisema waziwazi kwamba, “Nabii hapati heshima katika nchi yake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Maana Yesu mwenyewe alisema waziwazi kwamba, “Nabii hapati heshima katika nchi yake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Maana Yesu mwenyewe alisema waziwazi kwamba, “Nabii hapati heshima katika nchi yake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 (Basi Isa mwenyewe alikuwa amesema kwamba nabii hapati heshima katika nchi yake mwenyewe.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 (Basi Isa mwenyewe alikuwa amesema kwamba nabii hapati heshima katika nchi yake mwenyewe.) Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 Kwa maana Yesu mwenyewe alishuhudia ya kwamba nabii hapati heshima katika nchi yake mwenyewe. Tazama sura |