Yohana 3:30 - Swahili Revised Union Version30 Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Ni lazima yeye azidi kuwa maarufu, na mimi nipungue.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Ni lazima yeye azidi kuwa maarufu, na mimi nipungue.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Ni lazima yeye azidi kuwa maarufu, na mimi nipungue.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Yeye hana budi kuwa mkuu zaidi na mimi nizidi kupungua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Yeye hana budi kuwa mkuu zaidi na mimi nizidi kuwa mdogo.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua. Tazama sura |