Yohana 20:6 - Swahili Revised Union Version6 Basi akaja na Simoni Petro, akaingia ndani ya kaburi; akavitazama vitambaa vilivyolala, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ndipo Simoni Petro akaja akimfuata nyuma, akaingia ndani ya kaburi. Naye akaona vile vitambaa vya ile sanda vikiwa pale chini, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ndipo Simoni Petro akaja, akimfuata nyuma akaenda moja kwa moja hadi ndani ya kaburi. Naye akaona vile vitambaa vya ile sanda vikiwa pale chini Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi akaja na Simoni Petro, akaingia ndani ya kaburi; akavitazama vitambaa vilivyolala, Tazama sura |