Yohana 18:34 - Swahili Revised Union Version34 Yesu akamjibu, Wewe wasema hivi kwa nafsi yako, au watu wengine walikuambia habari zangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekuambia habari zangu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekuambia habari zangu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekuambia habari zangu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Isa akamjibu, “Je, unauliza swali hili kutokana na mawazo yako mwenyewe, au uliambiwa na watu kunihusu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Isa akamjibu, “Je, unauliza swali hili kutokana na mawazo yako mwenyewe, au uliambiwa na watu kunihusu mimi?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Yesu akamjibu, Wewe wasema hivi kwa nafsi yako, au watu wengine walikuambia habari zangu? Tazama sura |