Yohana 18:21 - Swahili Revised Union Version21 Ya nini kuniuliza mimi? Waulize wale waliosikia ni nini niliyowaambia; wao wanajua niliyoyanena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale waliosikia yale niliyowaambia. Wanajua niliyoyasema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale walionisikia yale niliyowaambia. Wao wanajua niliyosema.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Ya nini kuniuliza mimi? Waulize wale waliosikia ni nini niliyowaambia; wao wanajua niliyoyanena. Tazama sura |