Yohana 17:9 - Swahili Revised Union Version9 Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea wale ulionipa, maana ni wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea wale ulionipa, maana ni wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea wale ulionipa, maana ni wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ninawaombea wao. Siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ninawaombea wao. Mimi siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako; Tazama sura |