Yohana 17:4 - Swahili Revised Union Version4 Mimi nimekutukuza duniani, nikiwa nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mimi nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha ile kazi uliyonipa niifanye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mimi nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha ile kazi uliyonipa niifanye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mimi nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha ile kazi uliyonipa niifanye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nimekutukuza wewe duniani kwa kuitimiza ile kazi uliyonipa niifanye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nimekutukuza wewe duniani kwa kuitimiza ile kazi uliyonipa niifanye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mimi nimekutukuza duniani, nikiwa nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye. Tazama sura |