Yohana 17:15 - Swahili Revised Union Version15 Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Siombi uwatoe ulimwenguni, bali naomba uwakinge na yule Mwovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Siombi uwatoe ulimwenguni, bali naomba uwakinge na yule Mwovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Siombi uwatoe ulimwenguni, bali naomba uwakinge na yule Mwovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu. Tazama sura |