Yohana 15:17 - Swahili Revised Union Version17 Haya nawaamuru ninyi, mpate kupendana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, amri yangu kwenu ndiyo hii: Pendaneni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, amri yangu kwenu ndiyo hii: Pendaneni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, amri yangu kwenu ndiyo hii: pendaneni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Amri yangu ndiyo hii: Mpendane. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Amri yangu ndiyo hii: Mpendane. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Haya nawaamuru ninyi, mpate kupendana. Tazama sura |