Yohana 14:16 - Swahili Revised Union Version16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele; Tazama sura |