Yohana 13:36 - Swahili Revised Union Version36 Simoni Petro akamwambia, Bwana, unakwenda wapi? Yesu akamjibu, Niendako huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Simoni Petro akamuuliza, “Bwana, unaenda wapi?” Isa akamjibu, “Ninakoenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Simoni Petro akamuuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Isa akamjibu, “Ninakokwenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Simoni Petro akamwambia, Bwana, unakwenda wapi? Yesu akamjibu, Niendako huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadaye. Tazama sura |