Yohana 13:28 - Swahili Revised Union Version28 Wala hakuna mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu ya kumwambia hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Hakuna hata mmoja wa wale waliokuwa wameketi naye mezani aliyeelewa kwa nini Isa alimwambia hivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Hakuna hata mmoja wa wale waliokuwa wameketi naye mezani aliyeelewa kwa nini Isa alimwambia hivyo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Wala hakuna mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu ya kumwambia hivyo. Tazama sura |