Yohana 12:7 - Swahili Revised Union Version7 Basi Yesu alisema, Mwache aiweke kwa siku ya maziko yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini Yesu akasema, “Msimsumbue huyu mama! Mwacheni ayaweke kwa ajili ya siku ya mazishi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini Yesu akasema, “Msimsumbue huyu mama! Mwacheni ayaweke kwa ajili ya siku ya mazishi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini Yesu akasema, “Msimsumbue huyu mama! Mwacheni ayaweke kwa ajili ya siku ya mazishi yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Isa akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Isa akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Basi Yesu alisema, Mwache aiweke kwa siku ya maziko yangu. Tazama sura |