Yohana 12:33 - Swahili Revised Union Version33 Aliyanena hayo akionesha ni mauti gani atakayokufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 (Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani). Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 (Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani). Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 (Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani). Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Isa aliyasema haya akionesha ni kifo gani atakachokufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Isa aliyasema haya akionyesha ni kifo gani atakachokufa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Aliyanena hayo akionesha ni mauti gani atakayokufa. Tazama sura |