Yohana 12:2 - Swahili Revised Union Version2 Basi wakamwandalia karamu huko; naye Martha akatumikia; na Lazaro alikuwa mmojawapo wa wale walioketi chakulani pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wakaandaa karamu kwa heshima ya Isa. Martha akawahudumia, wakati Lazaro alikuwa miongoni mwa waliokaa mezani pamoja na Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wakaandaa karamu kwa heshima ya Isa. Martha akawahudumia wakati Lazaro alikuwa miongoni mwa waliokaa mezani pamoja na Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Basi wakamwandalia karamu huko; naye Martha akawatumikia; na Lazaro alikuwa mmojawapo wa wale walioketi chakulani pamoja naye. Tazama sura |