Yohana 11:56 - Swahili Revised Union Version56 Basi wao wakamtafuta Yesu, wakasemezana wakiwa wamesimama hekaluni, Mwaonaje? Haji kabisa sikukuu hii? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema56 Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND56 Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza56 Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu56 Watu wakawa wanamtafuta Isa, nao waliposimama kwenye ua la Hekalu, waliulizana, “Je, mtu huyu hatakuja kamwe kwenye Sikukuu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu56 Watu wakawa wanamtafuta Isa, nao waliposimama kwenye eneo la Hekalu waliulizana, Je, mtu huyu hatakuja kamwe kwenye Sikukuu? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI56 Basi wao wakamtafuta Yesu, wakasemezana wakiwa wamesimama hekaluni, Mwaonaje? Haji kabisa sikukuu hii? Tazama sura |