Yohana 11:30 - Swahili Revised Union Version30 Na Yesu alikuwa hajafika ndani ya kijiji; lakini alikuwa angalipo pale pale alipomlaki Martha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Yesu alikuwa hajaingia kijijini, ila alikuwa bado mahali palepale Martha alipomlaki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Yesu alikuwa hajaingia kijijini, ila alikuwa bado mahali palepale Martha alipomlaki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Yesu alikuwa hajaingia kijijini, ila alikuwa bado mahali palepale Martha alipomlaki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Isa alikuwa hajaingia kijijini, bali alikuwa bado yuko mahali pale alipokutana na Martha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Isa alikuwa hajaingia kijijini, bali alikuwa bado yuko mahali pale alipokutana na Martha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Na Yesu alikuwa hajafika ndani ya kijiji; lakini alikuwa angalipo pale pale alipomlaki Martha. Tazama sura |