Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yohana 10:22 - Swahili Revised Union Version

22 Basi huko Yerusalemu ilikuwa sikukuu ya kutabaruku; ni wakati wa baridi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Huko Yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. Wakati huo ulikuwa wa baridi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Huko Yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. Wakati huo ulikuwa wa baridi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Huko Yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. Wakati huo ulikuwa wa baridi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Ikafika Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu huko Yerusalemu. Ilikuwa majira ya baridi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu huko Yerusalemu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Basi huko Yerusalemu ilikuwa sikukuu ya kutabaruku; ni wakati wa baridi.

Tazama sura Nakili




Yohana 10:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

Sulemani akatoa sadaka za amani, alizomtolea BWANA, ng'ombe elfu ishirini na mbili, na kondoo elfu mia moja na ishirini. Ndivyo mfalme na wana wa Israeli wote walivyoiweka wakfu nyumba ya BWANA.


Mfalme Sulemani akatoa sadaka ya ng'ombe elfu ishirini na mbili, na kondoo elfu mia moja na ishirini. Ndivyo mfalme na watu wote walivyoifanya wakfu nyumba ya Mungu.


Na wana wa Israeli, na makuhani na Walawi, na watu wengine katika hao waliohamishwa, wakaiweka wakfu nyumba ya Mungu kwa furaha.


Nao waandishi walioshuka kutoka Yerusalemu wakasema, Ana Beelzebuli, na, Kwa mkuu wa pepo huwatoa pepo.


Wengine wakasema, Maneno hayo siyo ya mtu mwenye pepo. Je! Pepo aweza kuwafumbua macho vipofu?


Naye Yesu alikuwa akitembea hekaluni, katika ukumbi wa Sulemani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo