Yohana 10:13 - Swahili Revised Union Version13 Yule hukimbia kwa kuwa ni mtu wa mshahara; wala mambo ya kondoo si kitu kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Yeye hajali kitu juu ya kondoo kwa sababu yeye ni mtu wa mshahara tu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Yeye hajali kitu juu ya kondoo kwa sababu yeye ni mtu wa mshahara tu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Yeye hajali kitu juu ya kondoo kwa sababu yeye ni mtu wa mshahara tu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Yeye hukimbia kwa sababu ameajiriwa wala hawajali kondoo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Yeye hukimbia kwa sababu ameajiriwa wala hawajali kondoo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Yule hukimbia kwa kuwa ni mtu wa mshahara; wala mambo ya kondoo si kitu kwake. Tazama sura |