Yohana 1:8 - Swahili Revised Union Version8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. Tazama sura |