Yohana 1:17 - Swahili Revised Union Version17 Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Maana Mungu alitoa sheria kwa njia ya Mose, nayo neema na kweli vimetujia kwa njia ya Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Maana Mungu alitoa sheria kwa njia ya Mose, nayo neema na kweli vimetujia kwa njia ya Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Maana Mungu alitoa sheria kwa njia ya Mose, nayo neema na kweli vimetujia kwa njia ya Yesu Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa kuwa sheria ilitolewa kwa mkono wa Musa, lakini neema na kweli zimekuja kupitia Isa Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa kuwa sheria ilitolewa kwa mkono wa Musa, lakini neema na kweli imekuja kupitia Isa Al-Masihi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo. Tazama sura |