Yoeli 3:16 - Swahili Revised Union Version16 Naye BWANA atanguruma toka Sayuni, atatoa sauti yake toka Yerusalemu; na mbingu na nchi zitatetemeka; lakini BWANA atakuwa kimbilio la watu wake, na ngome ya wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mwenyezi-Mungu ananguruma huko Siyoni; sauti yake inavuma kutoka Yerusalemu; mbingu na dunia vinatetemeka. Lakini Mwenyezi-Mungu ni kimbilio la watu wake, ni ngome ya usalama kwa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mwenyezi-Mungu ananguruma huko Siyoni; sauti yake inavuma kutoka Yerusalemu; mbingu na dunia vinatetemeka. Lakini Mwenyezi-Mungu ni kimbilio la watu wake, ni ngome ya usalama kwa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mwenyezi-Mungu ananguruma huko Siyoni; sauti yake inavuma kutoka Yerusalemu; mbingu na dunia vinatetemeka. Lakini Mwenyezi-Mungu ni kimbilio la watu wake, ni ngome ya usalama kwa Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mwenyezi Mungu atanguruma kutoka Sayuni na mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu; dunia na mbingu vitatikisika. Lakini Mwenyezi Mungu atakuwa kimbilio la watu wake, ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 bwana atanguruma kutoka Sayuni na mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu; dunia na mbingu vitatikisika. Lakini bwana atakuwa kimbilio la watu wake, ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Naye BWANA atanguruma toka Sayuni, atatoa sauti yake toka Yerusalemu; na mbingu na nchi zitatetemeka; lakini BWANA atakuwa kimbilio la watu wake, na ngome ya wana wa Israeli. Tazama sura |