Yoeli 3:14 - Swahili Revised Union Version14 Umati mkubwa, umati mkubwa, wamo katika bonde la kukata kauli! Kwa maana siku ya BWANA i karibu, katika bonde la kukata kauli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Umati mkubwa, umati mkubwa katika bonde la uamuzi! Kwa kuwa siku ya Mwenyezi Mungu ni karibu katika bonde la uamuzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Umati mkubwa, umati mkubwa katika bonde la uamuzi! Kwa kuwa siku ya bwana ni karibu katika bonde la uamuzi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Umati mkubwa, umati mkubwa, wamo katika bonde la kukata kauli! Kwa maana siku ya BWANA i karibu, katika bonde la kukata kauli. Tazama sura |