Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoeli 2:8 - Swahili Revised Union Version

8 Wala hapana mmoja amsukumaye mwenzake; huendelea mbele kila mmoja katika njia yake; hujifanyia njia kwa nguvu kati ya silaha, wala hawaachi kuifuata njia yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Hakuna amsukumaye mwenziwe; kila mmoja anafuata mkondo wake. Wanapita kati ya vizuizi vya silaha, wala hakuna kiwezacho kuwazuia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Hakuna amsukumaye mwenziwe; kila mmoja anafuata mkondo wake. Wanapita kati ya vizuizi vya silaha, wala hakuna kiwezacho kuwazuia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Hakuna amsukumaye mwenziwe; kila mmoja anafuata mkondo wake. Wanapita kati ya vizuizi vya silaha, wala hakuna kiwezacho kuwazuia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Hakuna anayemsukuma mwenzake; kila mmoja anaenda mbele moja kwa moja. Wanapita katika vizuizi bila kuharibu safu zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Hakuna anayemsukuma mwenzake; kila mmoja anakwenda mbele moja kwa moja. Wanapita katika vizuizi bila kuharibu safu zao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Wala hapana mmoja amsukumaye mwenzake; huendelea mbele kila mmoja katika njia yake; hujifanyia njia kwa nguvu kati ya silaha, wala hawaachi kuifuata njia yao.

Tazama sura Nakili




Yoeli 2:8
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akawasimamisha watu wote, kila mtu akiwa na silaha yake mkononi, toka pembe ya kulia ya nyumba mpaka pembe ya kushoto, upande wa madhabahu na nyumba, kumzunguka mfalme pande zote.


Hezekia akapiga moyo konde, akaujenga ukuta wote uliobomoka, akauinua sawa na minara, na ukuta wa pili nje, akaongeza nguvu ya Milo, katika mji wa Daudi, akafanya silaha na ngao tele.


Watu wale walioujenga ukuta, na wale waliochukua mizigo, walijitweka wenyewe, kila mtu alifanya kazi kwa mkono mmoja, na kwa mkono wake wa pili alishika silaha yake;


Basi mimi, na ndugu zangu, na watumishi wangu, na walinzi waliofuatana nami, hatukuvua nguo zetu hata mmoja; kila mtu alikwenda kuteka maji akichukua silaha yake.


Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni, Na uhai wake usiangamie kwa upanga.


Lakini wasiposikia, wataangamia kwa upanga, Nao watakufa pasipo maarifa.


Nzige hawana mfalme; Lakini huenda wote pamoja vikosi vikosi.


Machipuko yako ni bustani ya komamanga, Yenye matunda mazuri, hina na nardo,


Miongoni mwao hakuna achokaye wala kukwaa; Hakuna asinziaye wala kulala usingizi; Wala mshipi wa viuno vyao hautalegea. Wala ukanda wa viatu vyao hautakatika;


Hupiga mbio kama mashujaa; huupanda ukuta kama watu wa vita; nao huendelea mbele kila mmoja katika njia zake, wala hawapotoshi safu zao.


Huurukia mji; hupiga mbio juu ya ukuta; hupanda na kuingia ndani ya nyumba; huingia madirishani kama aingiavyo mwizi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo