Yoeli 2:6 - Swahili Revised Union Version6 Mbele yao watu wanahangaika; nyuso zote zimegeuka kuwa nyeupe kwa hofu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wakaribiapo, watu hujaa hofu, nyuso zao zinawaiva. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wakaribiapo, watu hujaa hofu, nyuso zao zinawaiva. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wakaribiapo, watu hujaa hofu, nyuso zao zinawaiva. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wanapoonekana, mataifa yanakuwa katika maumivu makuu; kila uso unabadilika rangi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wanapoonekana, mataifa yanakuwa katika maumivu makuu; kila uso unabadilika rangi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Mbele yao watu wanahangaika; nyuso zote zimegeuka kuwa nyeupe kwa hofu. Tazama sura |