Yoeli 2:29 - Swahili Revised Union Version29 tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Hata juu ya watumishi wa kiume na wa kike, nitaimimina roho yangu wakati huo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Hata juu ya watumishi wa kiume na wa kike, nitaimimina roho yangu wakati huo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Hata juu ya watumishi wa kiume na wa kike, nitaimimina roho yangu wakati huo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho wangu Mtakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho wangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu. Tazama sura |
Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimdunga; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.