Yoeli 2:15 - Swahili Revised Union Version15 Pigeni tarumbeta katika Sayuni, Takaseni saumu, kusanyeni kusanyiko kuu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Pigeni tarumbeta huko Siyoni! Toeni amri watu wafunge; itisheni mkutano wa kidini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Pigeni tarumbeta huko Siyoni! Toeni amri watu wafunge; itisheni mkutano wa kidini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Pigeni tarumbeta huko Siyoni! Toeni amri watu wafunge; itisheni mkutano wa kidini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Pigeni tarumbeta katika Sayuni, tangazeni saumu takatifu, liiteni kusanyiko takatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Pigeni tarumbeta katika Sayuni, tangazeni saumu takatifu, liiteni kusanyiko takatifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Pigeni tarumbeta katika Sayuni, Takaseni saumu, kusanyeni kusanyiko kuu; Tazama sura |