Yoeli 1:3 - Swahili Revised Union Version3 Waambieni watoto wenu habari yake, Watoto wenu wakawaambie watoto wao, Na watoto wao wakakiambie kizazi kingine. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wasimulieni watoto wenu jambo hili, nao wawasimulie watoto wao, na watoto wao wakisimulie kizazi kifuatacho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wasimulieni watoto wenu jambo hili, nao wawasimulie watoto wao, na watoto wao wakisimulie kizazi kifuatacho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wasimulieni watoto wenu jambo hili, nao wawasimulie watoto wao, na watoto wao wakisimulie kizazi kifuatacho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Waelezeni watoto wenu, na watoto wenu wawaambie watoto wao, na watoto wao kwa kizazi kitakachofuata. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Waelezeni watoto wenu, na watoto wenu wawaambie watoto wao, na watoto wao kwa kizazi kitakachofuata. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Waambieni watoto wenu habari yake, Watoto wenu wakawaambie watoto wao, Na watoto wao wakakiambie kizazi kingine. Tazama sura |