Yoeli 1:19 - Swahili Revised Union Version19 Ee BWANA, nakulilia wewe; Kwa maana moto umeyala malisho ya nyikani, Na miali ya moto imeteketeza miti yote ya mashamba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Ninakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, moto umemaliza malisho nyikani, miali ya moto imeteketeza miti mashambani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Ninakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, moto umemaliza malisho nyikani, miali ya moto imeteketeza miti mashambani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Ninakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, moto umemaliza malisho nyikani, miali ya moto imeteketeza miti mashambani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwako, Ee Mwenyezi Mungu, naita, kwa kuwa moto umeteketeza malisho ya mbugani na miali ya moto imeunguza miti yote shambani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwako, Ee bwana, naita, kwa kuwa moto umeteketeza malisho ya mbugani na miali ya moto imeunguza miti yote shambani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Ee BWANA, nakulilia wewe; Kwa maana moto umeyala malisho ya nyikani, Na miali ya moto imeteketeza miti yote ya mashamba. Tazama sura |