Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoeli 1:17 - Swahili Revised Union Version

17 Mbegu zinaoza chini ya udongo wake; mabohari yameachwa ukiwa; ghala zimeharibika; kwa maana nafaka imekauka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mbegu zinaoza udongoni; ghala za nafaka ni ukiwa mtupu, ghala zimeharibika, kwa kukosa nafaka ya kuhifadhi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mbegu zinaoza udongoni; ghala za nafaka ni ukiwa mtupu, ghala zimeharibika, kwa kukosa nafaka ya kuhifadhi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mbegu zinaoza udongoni; ghala za nafaka ni ukiwa mtupu, ghala zimeharibika, kwa kukosa nafaka ya kuhifadhi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Mbegu zinakauka chini ya mabonge ya udongo. Maghala yameachwa katika uharibifu, maghala ya nafaka yamebomolewa, kwa maana hakuna nafaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Mbegu zinakauka chini ya mabonge ya udongo. Ghala zimeachwa katika uharibifu, ghala za nafaka zimebomolewa, kwa maana hakuna nafaka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Mbegu zinaoza chini ya udongo wake; mabohari yameachwa ukiwa; ghala zimeharibika; kwa maana nafaka imekauka.

Tazama sura Nakili

Yoeli 1:17
3 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akakubali maneno ya Efroni. Abrahamu akampimia Efroni ile fedha aliyotaja masikioni mwa wazawa wa Hethi, shekeli za fedha mia nne za namna inayotumika na wenye biashara.

Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kuliko hao?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo