Yobu 8:6 - Swahili Revised Union Version6 Ikiwa wewe u safi na mwelekevu; Hakika yeye sasa angeamka kwa ajili yako, Na kuyafanya makazi ya haki yako kufanikiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 kama wewe u safi moyoni na mnyofu, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 kama wewe u safi moyoni na mnyofu, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 kama wewe u safi moyoni na mnyofu, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 ikiwa wewe ni safi na mnyofu, hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako, na kukurudisha katika mahali pako pa haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 ikiwa wewe ni safi na mnyofu, hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako, na kukurudisha katika mahali pako pa haki. Tazama sura |