Yobu 8:16 - Swahili Revised Union Version16 Yeye huwa mti mbichi mbele ya jua, Nayo machipukizi yake huenea katika bustani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Jua litokapo yeye hustawi; hueneza matawi yake bustanini mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Jua litokapo yeye hustawi; hueneza matawi yake bustanini mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Jua litokapo yeye hustawi; hueneza matawi yake bustanini mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua, ukieneza machipukizi yake bustanini; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua, ukieneza machipukizi yake bustanini; Tazama sura |