Yobu 7:4 - Swahili Revised Union Version4 Hapo nilalapo chini, nasema, Nitaondoka lini? Lakini usiku huwa mrefu; Nami nimejawa na kujitupa huku na huku hata kupambazuke. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Nilalapo nasema, ‘Nitaamka lini?’ Kwani saa za usiku huwa ndefu sana; nagaagaa kitandani mpaka kuche! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Nilalapo nasema, ‘Nitaamka lini?’ Kwani saa za usiku huwa ndefu sana; nagaagaa kitandani mpaka kuche! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Nilalapo nasema, ‘Nitaamka lini?’ Kwani saa za usiku huwa ndefu sana; nagaagaa kitandani mpaka kuche! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakati nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko. Tazama sura |